Athari za mitandao ya kijamii kwa afya ya akili

Dar es Salaam. Watu wengi hivi sasa ni wapekuaji hodari wa mitandao ya kijamii ikiwamo WhatsApp, Instagram, Facebook, TikTok na mitandao mingine. Mwaka 2023 kulikuwa na wastani wa watumiaji bilioni 4.9 wa mitandao ya kijamii ulimwenguni, ikikadiriwa mtu wa kawaida kutumia wastani wa dakika 145 kwenye mitandao hiyo kila siku. Matumizi holela ya mitandao yanaweza kuathiri…

Read More

Siri, makosa upigaji wa chafya

Kupiga chafya ni tendo la kawaida la kibinadamu ambalo huchukuliwa kama jambo la kawaida kiasi kwamba watu wengi hawalipi uzito.  Hata hivyo, nyuma ya tendo hili dogo la kiafya kuna mchakato wa ajabu wa mwili unaotimiza majukumu muhimu ya kinga. Kupitia vyanzo mbalimbali vya kimtandao, makala haya, itaangazia kwa undani siri iliyofichika nyuma ya chafya,…

Read More

Serikali isimamie lebo za lishe kwenye vyakula

Katika muktadha wa ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari, shinikizo la damu, unene uliopitiliza na magonjwa ya moyo, Tanzania inakumbwa na changamoto ya kimfumo inayohitaji suluhisho la kitaifa. Moja ya maeneo muhimu ya kuingilia kati ni sekta ya lishe, hasa kwenye udhibiti wa vyakula vilivyofungashwa ambavyo vimekuwa sehemu kubwa ya milo ya Watanzania wengi…

Read More

Haki ya malezi ya mtoto wanandoa wanapotengana

Dar wa Salaam. Lengo kuu la sharia ya Kiislamu ni kutimiza manufaa na kuzuia madhara. Sharia hii tukufu imehakikisha haki za watu binafsi na jamii nzima za kibinadamu.  Miongoni mwa uzuri wa sharia ya Kiislamu ni kulinda haki za wanyonge, ikiwemo makundi maalumu kama watoto.  Kwa ajili yao, Uislamu umeweka kanuni za jumla pamoja na…

Read More

SIENDI BUNGENI KUTAFUTA PESA-LUTANDULA

Watatu kutoka kushoto ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Chato kusini, Paschal Lutandula. ………… CHATO MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chato kusini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paschal Lutandula, amesema haendi Bungeni kutafuta pesa bali kupata ridhaa ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo hilo. Amewataka wamuamini na kukiamini Chama Cha Mapinduzi kuwa kina lengo…

Read More