TGNP NA UNWOMEN WAWEZESHA MAGEUZI YA KIJAMII GONGO LA MBOTO
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAWAKE wa Kata ya Gongo la Mboto wamehamasishwa kushiriki katika nafasi za uongozi na kujiimarisha kiuchumi kupitia Kituo cha Taarifa na Maarifa (KC) baada ya kufanya tathimini ya mradi wa Women’s Leadership and Economic Rights (WLER) unaoratibiwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na UNWOMEN Akizungumza na waandishi…