“Finally we have met once again. (Hatimaye tumeonana kwa mara nyingine)” Linnie alisema na kuachia tabasamu lililoonyesha meno yake meupe yalipangiliwa vizuri kinywani mwake. “God is great…” (Mungu ni mkubwa), Muddy ilikuwa zamu ya Muddy kushukuru huku furaha ya matumaini ikirejea ndani ya nafsi yake.
Mtoto wa Mjini – 13