ONGEA NA ANTI BETTI: Ameolewa ananilazimisha nitembee naye
Nilikuwa na uhusiano wa mapenzi na binti mmoja kwa miaka kadhaa kabla ya kuachana na kila mmoja kushika njia yake. Baadaye mimi nilioa na nimebahatika kupata watoto wawili, mwenzangu pia nilikuja kujua alishaolewa na ana mtoto mmoja. Jambo la ajabu ambalo linaniweka njia panda ni huyu mwenzangu kuniganda kuendeleze uhusiano wetu akidai wakati huu tumekuwa…