Katika Asia ya Kusini, Guterres anashinikiza kesi ya hatua ya hali ya hewa – maswala ya ulimwengu

Kushughulikia Mkutano wa pamoja kati ya Mataifa ya UN na Kusini mwa Asia huko Kuala Lumpur Jumatatu, Katibu Mkuu António Guterres alielezea mkoa huo kama “beacon ya ushirikiano” na nguzo muhimu ya utulivu wa ulimwengu. Pamoja na kupatikana kwa Timor-Leste, alisema, roho ya pamoja ya shirika la mkoa inayojulikana kama ASEAN ilikuwa “imekua na nguvu,”…

Read More

VIDEO YA MAANDAMANO TARIME NI UONGO, UPUUZWE

 :::: Jeshi la Polisi mkoa Tarime Rorya imesema Video inayosambwazwa ikionesha watu wakiandamana si ya kweli na kwamba imesambazwa na watu wenye Nia ovu hivyo ipuuzwe. Kupitia taarifa iliyotolewa usiku huu (Oktoba 27, 2025) na Kamanda wa Polisi, Tarime imesema hali ni shwari na hakuna tukio kama hilo. Hata hivyo taarifa hiyo imesema wananchi wanaendelea…

Read More

Misaada hupunguza kuzima au kusimamisha moja katika mipango mitatu ya kupambana na unyanyasaji wa wanawake-maswala ya ulimwengu

Mpya Wanawake wa UN ripoti, Katika hatari na kufadhiliwakwa kuzingatia uchunguzi wa kimataifa wa haki za wanawake 428 na vikundi vya asasi za kiraia, hugundua kuwa mmoja kati ya watatu amesimamisha au kufunga mipango inayolenga kumaliza vurugu za kijinsia. Zaidi ya asilimia 40 wamepunguza au kufunga huduma muhimu kama vile malazi, misaada ya kisheria, msaada…

Read More

TANESCO YAANDIKA HISTORIA MPYA MIKOA YA LINDI NA MTWARA; YAWASHA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME KWA GESI ASILIA WA MEGAWATI 20

*Uwezo wa uzalishaji umeme wapanda hadi megawati 77.5 *RC Mtwara auzindua mradi na kupongeza Wizara ya Nishati na TANESCO kwa jmageuzi katika sekta ya nishati Na Mwandishi Wetu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeandika historia mpya Mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya kuzindua rasmi mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wenye uwezo…

Read More

SHIRIKA LA KICHEKO AFRICA FOUNDATION LATOA MAFUNZO YA AFYA YA AKILI KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

Na Mwandishi wetu SHIRIKA la Kicheko Africa Foundation limetoa mafunzo ya Afya ya Akili (Mental Health) kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu ili kuwajengea msingi Bora wakujitambua na kuepukana na magonjwa yanayosababishwa na matarajio na tofauti wanazokutana nazo Chuoni. Akifungua Mafunzo hayo yaliyofanyika katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) Makamu…

Read More

GLORY AFUNGA KAMPENI KWA AHADI ZA MAENDELEO KAWE

………… Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bi Glory Tausi amefunga rasmi kampeni zake za nyumba kwa nyumba kwa kuzitembelea kata za Makongo na Mabwepande.   Glory ameahidi kushirikiana na mamlaka husika kuhakikisha Barabara kubwa ya Mabwepande inawekwa Lami, na ameahidi marekebisho kwa barabara za ndani kwenye kata ya Makongo na…

Read More

Mikoa yawahakikishia usalama wananchi siku ya uchaguzi

Dar/Mikoani. Wakati Watanzania wakihesabu saa kwenda kupiga kura kumchagua Rais, wabunge na madiwani, wakuu wa mikoa nchini wamewahakikishia usalama wananchi kwenye maeneo yao. Uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025 ambapo Watanzania wenye sifa kote nchini watapiga kura kuchagua viongozi. Akizungumza leo Oktoba 27, 2025  jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Albert…

Read More