‘Ujio wa elimu ya amali kutoua vyuo vya Veta’

Dar es Salaam. Mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yanayoendelea duniani yameifanya elimu isibaki kama chombo cha kupata maarifa pekee, bali iwe nyenzo ya kumjengea binadamu uwezo wa kuishi, kufikiri na kufanya kazi kwa ufanisi. Ndiyo maana Tanzania, kupitia mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 (toleo la 2023), imeanzisha mtalaa mpya wa elimu…

Read More

Maktaba, usomaji vinakufa, Bohumata iamke

Dar es Salaam. Katika nchi inayoelekea kuwa ya maarifa, maendeleo ya kweli hayawezi kufikiwa bila kukuza utamaduni wa kusoma. Kusoma si jambo la anasa tena, bali ni hitaji la msingi kama ilivyo afya, elimu na miundombinu.  Katika muktadha huu, Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (Bohumata) ni chombo mama, mhimili mkuu wa maendeleo ya usomaji…

Read More

Pipino ajipanga kuuwasha upya | Mwanaspoti

KIUNGO wa KMC, Ahmed Bakari ‘Pipino’ amesema anajisikia vizuri baada ya kurejea uwanjani akitoka kuuguza majeraha ya enka aliyoyapata katika michuano ya Kombe la Kagame iliyofanyika Dar es Salaam kuanzia Septemba 2 hadi 15, mwaka huu. Wakati wa kuuguza majeraha hayo, Pipino alikosekana katika mechi tatu za Ligi Kuu Bara, lakini sasa amerejea na kucheza…

Read More

Fountain Gate yashtua Ligi Kuu

KITENDO cha kukusanya pointi saba katika mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ilizocheza Fountain Gate, imeonekana kurejesha ari, morali na matumaini kwa mastaa wa timu hiyo, huku wakitamba kuwa kazi ndio imeanza. Timu hiyo iliyoweka makazi yake mkoani Manyara, haikuwa na mwanzo mzuri ilipochezea vichapo kwenye mechi tatu za kwanza na kujikuta ikiwapa presha…

Read More