China Yazindua Roboti za Mbwa Vita na Gari la Kijeshi la AI – Global Publishers
Last updated Oct 28, 2025 Kampuni ya Norinco ya China, kwa msaada wa jeshi la nchi hiyo, imetengeneza roboti za mbwa vita zinazoweza kushiriki moja kwa moja katika mapambano. Pia, China inajaribu kutumia makundi ya droni yanayoshambulia kwa pamoja, pamoja na gari la kijeshi linalojiendesha kwa akili bandia ya DeepSeek. Gari…