VIDEO: Dereva wa Raila Odinga asimulia simu ya mwisho kutoka kwa bosi wake
Nairobi. Eric Ominde, aliyekuwa dereva wa hayati, Raila Odinga kwa zaidi ya miaka 20, amesimulia simu ya mwisho aliyopokea kutoka kwa kiongozi huyo maarufu wa upinzani kabla ya kifo chake cha ghafla. Akizungumza na kituo cha televisheni cha NTV Kenya jana Oktoba 27, 2025, Ominde amesema Raila alimpigia simu saa 7:00 usiku kwa saa za…