Bweni Shule ya Sekondari Mkuu Rombo lateketea kwa moto

Rombo. Zikiwa zimepita siku 22 tangu bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Mkuu, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro kuteketea kwa moto, bweni jingine la shule hiyo lenye wanafunzi 160 limeteketea tena kwa moto usiku wa kuamkia leo Jumanne, Oktoba 28, 2025. Tukio la kwanza lilitokea Oktoba 6, 2025, ambapo bweni lenye uwezo wa kuchukua…

Read More

Pipino ajipanga kuuwasha upya | Mwanaspoti

KIUNGO wa KMC, Ahmed Bakari ‘Pipino’ amesema anajisikia vizuri baada ya kurejea uwanjani akitoka kuuguza majeraha ya enka aliyoyapata katika michuano ya Kombe la Kagame iliyofanyika Dar es Salaam kuanzia Septemba 2 hadi 15, mwaka huu. Wakati wa kuuguza majeraha hayo, Pipino alikosekana katika mechi tatu za Ligi Kuu Bara, lakini sasa amerejea na kucheza…

Read More

Fountain Gate yashtua Ligi Kuu

KITENDO cha kukusanya pointi saba katika mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ilizocheza Fountain Gate, imeonekana kurejesha ari, morali na matumaini kwa mastaa wa timu hiyo, huku wakitamba kuwa kazi ndio imeanza. Timu hiyo iliyoweka makazi yake mkoani Manyara, haikuwa na mwanzo mzuri ilipochezea vichapo kwenye mechi tatu za kwanza na kujikuta ikiwapa presha…

Read More

Azam, Singida BS mikononi mwa vigogo CAF

BAADA ya Azam na Singida Black Stars kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, zina kibarua cha kukutana na vigogo. Timu hizo zinashiriki hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza ambapo kwa mujibu w Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), zitakuwa chungu (POT) namba nne…

Read More