Yanga, Simba zavuna mkwanja mrefu CAF
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza kwamba, kwa timu zote zilizofuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, zina uhakika wa kupewa Dola za Marekani 700,000 (Sh1.7 bilioni za Tanzania). Hiyo inamaanisha kwamba, Yanga na Simba zina uhakika wa kuvuna kiasi hicho cha fedha kikiwa ni kikubwa zaidi ya upande wa Kombe la…