AZZA HILLAL AFUNGA KAMPENI KIBINGWA JIMBO JIPYA LA ITWANGI
Mgombea Ubunge Jimbo la Itwangi kupitia CCM Azza Hillal Hamad akinadi sera kwa wananchi wa Itwangi. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo jipya la Itwangi, Mhe. Azza Hillal Hamad, amehitimisha kampeni zake leo Oktoba 27, 2025, kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Kata ya…