Polisi yataja sababu ya kumkamata Niffer
Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amethibitisha jeshi hilo kumkamata mfanyabiashara wa mtandaoni Jenifer Jovin maarufu Niffer. Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Oktoba 27,2025 baada ya kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa mfanyabiashara huyo ametekwa na watu wasiojulikana Sinza jijini Dar es Salaam alipokuwa…