PWANI AHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KWA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29-RC KUNENGE
Na Khadija Kalili, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025. RC Kunenge amesema hayo leo asubuhi aalipoongea katika mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo Mkoani hapa. ” Pwani tumejipanga kudhibiti kikundi ama mtu yeyote…