DSE yazidi kupata faida, imani ya uwekezaji yaongezeka
Dar es Salaam. Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeendelea kutengeneza faida na kukua huku uelewa na mwamko wa watu kuwekeza ukitajwa kuwa sababu ya kuimarika kwa utendaji huo. Haya yanasemwa wakati ambao DSE imerekodi ongezeko la mapato kwa asilimia 54 katika robo mwaka iliyoishia Septemba 30, 2025, faida baada ya kodi ikipanda…