Ulega Afunga Kampeni Mkuranga, Awaomba Wananchi Wamchague Dkt. Samia na Wagombea Wote wa CCM
Mkuranga, 26 Oktoba 2025 — Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Abdallah Ulega, leo amefunga rasmi kampeni zake za ubunge na kuwaomba wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba 2025 kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga kura na kuwachagua wagombea wote wa CCM kuanzia ngazi…