Mrundi Fountain Gate aanza kutatamba

BEKI wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi, amesema kwa sasa timu hiyo inaanza taratibu kujipata kutokana na mwanzo mbaya walioanza nao, ingawa bado wana kazi kubwa ya kufanya kuendeleza kiwango bora kwa sababu ya ushindani. Kauli ya nyota huyo inajiri baada ya juzi kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya KMC kwenye…

Read More

Samatta dakika 519 bado mambo magumu Ufaransa

NYOTA wa kimataifa na nahodha wa timu ya taifa, Mbwana Samatta jana Jumapili alitimiza jumla ya dakika 519 kupitia mechi nane za Ligi Kuu ya Ufaransa bila ya kufunga bao. Samatta aliyetua katika Ligue 1 msimu huu, akijiunga na Le Harve akitokea PAOK ya Ugiriki aliyokuwa amemaliza nao mkataba, amekosa mechi moja ya ligi hiyo…

Read More