Mapungufu ya Fedha ya Adaptation Acha Kuendelea Ulimwenguni wazi – Maswala ya Ulimwenguni

Jamaica katika jicho la Hurricane Melissa, kimbunga chenye nguvu zaidi cha kitropiki kwenye rekodi. Mikopo: x na Cecilia Russell (Nairobi & Johannesburg) Jumatano, Oktoba 29, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Nairobi & Johannesburg, Oktoba 29 (IPS) – Kimbunga Melissa kilifanya maporomoko ya ardhi huko Jamaica jana – kimbunga kikali cha kuathiri kisiwa hicho kwenye…

Read More

Rais na Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan apiga Kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia…

Read More

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI ZOEZI LA KUPIGA KURA – KIGOMA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahimiza wananchi kuendelea kujitokeza katika kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaowataka. Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani akiwa katika Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo…

Read More

MGOMBEA UBUNGE CHATO KUSINI APIGA KURA KWA AMANI

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chato kusini,Paschal Lutandula,akizungumza na waandishi wa habari. …………. CHATO MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chato kusini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paschal Lutandula, amepiga kura kwenye kituo namba 1 kilichopo kwenye shule ya msingi Bwanga wilayani Chato mkoani Geita ikiwa ni kutimiza takwa lake la kikatiba. Lutandula ambaye…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Tukapige kura kwa amani

Leo ndio siku ile ambayo Watanzania tulikuwa tukiisubiri kwa hamu kubwa. Siku yetu ya kushiriki kidemokrasia uchaguzi wa viongozi wetu watakaotupeleka kwenye hali bora zaidi ya huko tulikotoka. Tukio kama la leo lilifanyika miaka mitano iliyopita, na litakuja kujirudia miaka mitano inayokuja. Wengi tumelisubiri kwa hamu kama wana wa Israel walivyokuwa wakimsubiri masihi kwa kufuatia…

Read More