Chaumma yaahidi kufuta tozo daraja la Kigamboni, kujenga viwanda
Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku tatu pekee kabla ya Watanzania kwenda kupiga kura kumchagua Rais, wabunge na madiwani, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimeahidi kufuta tozo za daraja la Nyerere. Wakijikita katika Jimbo la Kigamboni kwenye kampeni za kata kwa kata leo Jumapili Oktoba 26, 2025, mgombea mwenza wa urais wa chama hicho,…