Wananchi Buhigwe waeleza matumaini yao baada ya kujengwa kwa ofisi ya Takukuru
Buhigwe. Wananchi wa Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma wamesema kufunguliwa rasmi kwa ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani humo kutasaidia kuwepo kwa usiri na usalama wao wa utoaji taarifa kuhusu vitendo vya rushwa ukilinganisha na hapo awali. Wakizungumza leo, Alhamisi Oktoba 2, 2025 wakati wa uzinduzi wa jengo la ofisi…