Vyuo vikuu vitano vyaungana kukabiliana na mabadiliko tabianchi
Morogoro. Watafiti na wahadhiri kutoka vyuo vikuu vitano wamekutana mjini Morogoro kwa ajili ya kutafuta suluhisho kwa changamoto zinazochochewa na mabadiliko ya tabianchi hususani katika sekta za kilimo, afya na upatikanaji wa maji. Katika mkutano huo unaohusisha vyuo vikuu vinne vya Tanzania na kimoja cha Canada, wanasayansi wamepanga kuja na majawabu jumuishi yatakayogusa maisha ya…