BoT Yaendelea na Riba ya Asilimia 5.75, Uchumi Waendelea Kuimarika
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) imeendelea kusalia kuwa asilimia 5.75 katika robo ya nne ya mwaka inayoanza Oktoba hadi Disemba 2025. Akizungumza leo Jijini Dar es Salaam, Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba amesema uamuzi huo ulifikiwa na Kamati ya Sera ya…