Mwendokasi yazidi ‘kupasua’ vichwa wananchi
Dar es Salaam. Wakati wananchi wakiendelea kulazimika kusubiri muda mrefu kupata huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi, Serikali mkoani Dar es Salaam imetoa taarifa ya namna inavyoshughulikia kero hiyo, ambayo wengi hulazimika kuyapanda kwa kugombea. Asubuhi ya leo Oktoba mosi, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amefanya ukaguzi…