Simba baba lao, yatinga makundi Ligi ya Mabingwa
SIMBA imeweka rekodi mpya baada ya kufuzu hatua ya makundi kwa mara ya saba katika miaka minane, lakini kama taifa kukiwa na rekodi nyingine kali ya kufanikiwa kuingiza timu nne kwenye michuano ya CAF kwa mara ya kwanza. Kuanzia mwaka 2018 Simba ilianza utawala wa soka la Tanzania kwenye michuano ya CAF na leo iliweka…