Askofu Mkuu Ruwa’ichi atangaza msimamo Kanisa Katoliki
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amesema wanaohangaika wakidhani kanisa hilo linataka kushindana, kulumbana au kushikana mieleka na Serikali, watambue halina mpango huo. Amesema hayo leo Oktoba mosi, 2025, wakati wa maadhimisho ya misa takatifu ya jubilei ya mapadri wa jimbo hilo iliyofanyika Msimbazi…