Dk Mwinyi: Ahadi tulizotoa tumezitimiza, tunaomba ridhaa tena
Unguja. Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amesema ahadi walizotoa wamezitimiza lakini wamerudi kuomba kura ili wafanye makubwa zaidi. Amewasihi vijana wajipange kadri iwezekanavyo kupata ajira za kudumu na kumaliza changamoto hiyo. Ametoa kauli hiyo leo Oktoba mosi, katika viwanja vya Nyarugusu Pangawe wakati Akizungumza na makundi…