COSTECH YASISITIZA USHIRIKIANO NA VYOMBO VYA HABARI KUSAMBAZA TAARIFA ZA KISAYANSI

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt Amos Nungu akizungumza Septemba 30, 2025 katika Media Café iliyofanyika jijini Dar es Salaam kwaajili ya kubadilishana uzoefu kati ya wanahabari na Wanasayansi.  Na Avila Kakingo, Michuzi Tv. TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa karibu kati yake…

Read More

Mwendokasi yazidi ‘kupasua’ vichwa wananachi

Dar es Salaam. Wakati wananchi wakiendelea kulazimika kusubiri muda mrefu kupata huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi, Serikali mkoani Dar es Salaam imetoa taarifa ya namna inavyoshughulikia kero hiyo, ambayo wengi hulazimika kuyapanda kwa kugombea. Asubuhi ya leo Oktoba mosi, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amefanya ukaguzi…

Read More

‘Msiogope kupima saratani ya matiti, tezi dume’

Dar es Salaam. Wananchi wametakiwa wasiogope kujitokeza kupima saratani ya matiti na tezi dume kwa kuwa, unapojua afya  yako, utapata ushauri na kuelewa hatua za kuchukua. Kauli hiyo imetolea leo Jumatano Oktoba mosi, 2025 na Daktari wa Kitengo cha Uchunguzi wa Saratani na Elimu kwa Umma kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Kandali Samwel,…

Read More

Wivu wa mapenzi wampeleka jela miaka 25

Arusha. Usemi wa Kiswahili usemao hasira hasara umetimia kwa Jumanne Mlanda, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 25 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuua watu wawili bila kukusudia, akiwemo mkewe akiwatuhumu kuwa na uhusiano ya kimapenzi. Hukumu hiyo imetolewa jana Septemba 30,2025 na Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Geita na Jaji Griffin Mwakapeje aliyekuwa akisikiliza…

Read More

KUTOKA MTAANI KWETU LEO OKTOBA 01, 2025

Kamera ya Michuzi Tv leo Oktoba imenasa wafanyabiasahara wa Ilala wakiendelea na kazi pamoja na kuwepo kwa bango limalowazuwia kufanyabiashara eneo hilo bado wameendelea kufanya biashara katika eneo hilo kama wanavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) kazi ikiendelea

Read More