Biashara ya Mitumba Yadorora Dar es Salaam
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Baadhi ya wafanyabiashara wa nguo za mitumba jijini Dar es Salaam wamesema biashara hiyo imekuwa ngumu zaidi katika kipindi cha hivi karibuni, hali inayosababisha kushuka kwa mauzo na kuathiri kipato cha familia nyingi zinazotegemea sekta hiyo. Wakizungumza na Michuzi Blog, wafanyabiashara hao wamesema changamoto kubwa inayowakabili ni kupungua kwa mizigo…