Usiku wa Kulipiza Kisasi!! – Global Publishers
Ni usiku wa moto barani Ulaya. Mabingwa watetezi PSG wanatua Camp Nou, uwanja ambao Barcelona hawajapoteza mechi ya UCL msimu uliopita. Barca wakiwa na Lewandowski na kijana hatari Lamine Yamal wanaamini leo ni siku ya kulipiza kisasi baada ya kupokea kichapo cha 4-1 misimu miwili iliyopita kutoka kwa PSG pamoja na kutupwa…