Bado Watatu – 45 | Mwanaspoti

“NDIYO, yule alikuwa anaitwa Thomas Christopher, ni mtoto wa aliyekuwa tajiri yake Unyeke.” Nikaona pale palikuwa na habari nzito. Nikamuuliza yule mzee:“Inaelekea wewe unajua mambo mengi kuhusu huyu Thomas na kuhusu Unyeke…” “Nilikuwa dereva wa Unyeke. Na huyu Thomas alikuwa mtoto aliyekuwa akimlea pale nyumbani. Hakuwa amemzaa mwenyewe.” “Unyeke unayemzungumzia wewe ni Unyeke yupi? Mimi…

Read More

Bado Watatu – 44 | Mwanaspoti

Mfalme akamuona yule mtoto wa maskini akiingia katika jumba lake bila walinzi wake kumuona. Aliingia hadi katika kile chumba cha mwanawe, kisha mfalme huyo akazinduka usingizini.Asubuhi kulipokucha, mfalme akapewa habari kuwa mwanawe amekutwa amekatwa kichwa chumbani mwake. Nikahisi kwamba kisa hicho kinalingana kidogo na mkasa ule uliotokea wa kulipa kisasi kwa mtu aliyekufa kwa kuonewa.Mfalme…

Read More

UCHAMBUZI WA MALOTO: Kutengeneza magari, ndege; Tanzania kila kitu kinawezekana

Vijana 13 wa Kitanzania, wasomi, wameweza kutengeneza ndege na kuifanya Tanzania iwe nchi ya kwanza Afrika kufanya hivyo. Vijana wazalendo kwa nchi yao, wameandika ubavuni maandishi yanayosomeka waziwazi, “made in Tanzania”, yaani imetengenezwa Tanzania. Mazimbu, Morogoro, ndiyo kwenye kiwanda cha ndege. Kila kitu kilianza na mawazo ya Mhandisi Paul Ihunya, kisha wenzake 12 wakajiunga naye….

Read More

Bei za mafuta zaendelea kushuka nchini

Dar es Salaam. Bei za mafuta ya petroli na dizeli zitakazotumika Oktoba mwaka huu nchini zimeendelea kupungua kwa kiwango tofauti ikilinganishwa na zilizokuwepo mwezi uliotangulia, huku upande wa mafuta ya taa ukiendelea kusalia vilevile. Bei hizi zinapungua nchini wakati ambao kumekuwa na ongezeko katika soko la dunia kwa asilimia 2.80 kwa mafuta ya petroli, asilimia…

Read More