Fyatu kuandamana kuhujumiwa PhD yake
Si juzi viongozi wake wakapiga marufuku tulio na PhD za heshima, kununua, kughushi, na makandokando mengine kutozitumia. Fyatu kama mimi mwenye PhD magunia na uprofesa vya heshima, nikienda kule nikaitwa Daktari au Profesa Emeritus, nafunguliwa mashitaka ya kuhujumu na kudhalilisha elimu na shahada. Nani anazidhalilisha kati ya wanaoziuza au kuzigawa kwa kisingizio cha heshima aka…