Wawili mbaroni Manyara kwa kushawishi watu wasishiriki uchaguzi
Babati. Watu wawili akiwemo mwalimu wanashikiliwa na polisi wakidaiwa kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29 mwaka 2025. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Ahmed Makarani watu hao wamekamatwa kwa nyakati tofauti. Kamanda Makarani ametaja majina ya watuhumiwa hao kuwa ni Juma…