RAIS MWINYI AKUTANA NA UJUMBE WA SEOM

::::: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi  amekutana na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SEOM) Ikulu, Zanzibar. Ujumbe huo unaoongozwa na Spika Mstaafu wa Bunge la Malawi, Mhe. Richard Msowoya umemweleza Mheshimiwa Rais Mwinyi kuwa SEOM imejipanga kupeleka…

Read More

Trump aanza ziara barani Asia, kukutana na rais wa China

Dar es Salaam. Rais wa Marekani, Donald Trump leo Jumapili Oktoba 26, 2025 amewasili nchini Malaysia ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara yake barani Asia. Ziara hiyo itahusisha mazungumzo muhimu ya biashara na Rais wa China, Xi Jinping nchini Korea Kusini katika siku ya mwisho, akilenga kufikia makubaliano ya kumaliza vita vya kibiashara….

Read More

Ulega Ahamasisha Wananchi Tambani Kujitokeza Kupiga Kura Oktoba 29

  MKURANGA, Pwani – Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega, amewataka wananchi wa Kijiji cha Tambani kujitokeza kwa wingi katika  Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, na kuwachagua wagombea wa chama hicho kwa nafasi zote.Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Kijiji cha Mkonga, Ulega alisema ushindi wa CCM utawezesha…

Read More

KIKWETE AHITIMISHA KAMPENI ZA CCM MAJIMBO MATANO YA UNGUJA, ASEMA CCM NI CHAMA CHA KUTENDA NA SIO CHA MANENO MANENO

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amesema CCM si chama cha maneno maneno bali ni chama cha vitendo, akisisitiza kuwa chama hicho kitaendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi kwa vitendo. Dkt. Kikwete alitoa kauli hiyo jana jioni katika…

Read More

ONGEA NA ANTI BETTI: Ameolewa ananilazimisha nitembee naye

Nilikuwa na uhusiano wa mapenzi na binti mmoja kwa miaka kadhaa kabla ya kuachana na kila mmoja kushika njia yake. Baadaye mimi nilioa na nimebahatika kupata watoto wawili, mwenzangu pia nilikuja kujua alishaolewa na ana mtoto mmoja. Jambo la ajabu ambalo linaniweka njia panda ni huyu mwenzangu kuniganda kuendeleze uhusiano wetu akidai wakati huu tumekuwa…

Read More