Namna ya kurejesha hofu ya Mungu ndani ya familia
Bwana Yesu asifiwe, ni siku nyingine ya Baraka Mungu ametupa mimi na wewe ili tuweze kumwabudu yeye. Katika somo lilipita nilifundisha “Kwanini kizazi cha sasa kimepoteza Hofu ya Mungu”. Miongoni mwa sababu za msingi nilizofundisha zilikuwa ni Kukosekana kwa Misingi Bora ya Kiroho katika Familia zetu.Leo hii nitafundisha Namana ya Kurejeza hofu ya Mungu katika…