Othman afunga kampeni Pemba, aahidi kuimarisha ‘brandi ya Zanzibar’
Pemba. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amefunga kampeni zake kwa upande wa Pemba huku akiwaahidi Wazanzibari kwenda kuimarisha ‘brandi ya Zanzibar’. Amesema Zanzibar ina mambo yake, alama zake, heshima yake, dalili zake, watu wake na utukufu wake, silka, na utamaduni na mila, akisema masuala hayo ndio yanayoifanya wananchi wa…