Kadi nyekundu za Chalamanda kuna kitu

UNAWEZA kudhani kama masihara, lakini ukweli ni kwamba kadi nyekundu aliyoonyeshwa Ramadhan Chalamanda wa JKT Tanzania dhidi ya Mbeya City, inafanana na ile aliyowahi kuonyeshwa dhidi ya timu hiyo misimu miwili iliyopita. Chalamanda ambaye ameingia JKT Tanzania msimu huu akitokea Kagera Sugar, alionyeshwa kadi hiyo dakika ya 17 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa…

Read More

Kipre Jr, Sillah watuma salamu Azam

SIKU moja baada ya Azam FC kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake, waliokuwa mastaa wa timu hiyo wamewapongeza wachezaji, benchi la ufundi na uongozi huku wakiamini kuwa nafasi ya kutwaa kombe wanayo wakiendeleza vyema mapambano. Azam FC jana imetinga hatua hiyo baada ya kuifunga KMKM kwa…

Read More

MAHAFALI YA 14 YA PSPTB YAFANA JIJINI DAR

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Jenifa Christian Omolo (kushoto) akipokea tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Jacob Kibona (katikati) kwa kutambua mchango wake wakati wa Mahafali ya 14 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius…

Read More

Barabara Zaongeza Uchumi Ruvuma – MICHUZI BLOG

*TARURA Ruvuma kutekeleza Miradi ya Bilioni 22 kwa mwaka 2025/2026 Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Ruvuma umeendelea kunufaika na uwekezaji mkubwa wa Serikali katika miundombinu ya barabara, hatua inayochochea maendeleo ya kiuchumi, kilimo, na uhifadhi wa mazingira. Meneja wa TARURA mkoa wa Ruvuma, Mhandisi Silvester Chinengo,…

Read More