Dk Mwinyi apiga kura, apongeza wananchi kudumisha amani
Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura Kariakoo viwanja vya michezo ya watoto Jimbo la Kwahani. Dk Mwinyi amefika katika kituo hicho saa 2:10 asubuhi ya leo Jumatano, Oktoba 29, 2025 akiwa ameongozana na familia yake, mke wake, Mariam na watoto…