Mgombea urais TLP aahidi kumaliza migogoro ya wakulima, wafugaji
Moshi. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira ameahidi kushughulikia migogoro kati ya wakulima na wafugaji kwa kutenga maeneo maalumu kwa kila kundi. Mbali na mkakati huo, pia amesema ataboresha miundombinu muhimu ya kilimo na ufugaji endapo atapewa dhamana ya kuongoza nchi. Akizungumza leo katika mkutano wa…