Jinsi satelaiti zinasaidia kupunguza uzalishaji kutoka kwa mifugo – maswala ya ulimwengu

Time2graze itatumia data ya satelaiti ya Sentinel-2 kufuatilia malisho ya malisho na kusaidia wakulima na wasimamizi wa ardhi kufanya maamuzi sahihi juu ya usimamizi wa malisho, ugawaji wa rasilimali, na matumizi endelevu ya ardhi. Maoni na Lindsey Sloat (Lancaster, PA) Ijumaa, Oktoba 24, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LANCASTER, PA, Oktoba 24 (IPS) –…

Read More

Ulega Awaomba Wananchi wa Mkuranga Waichague CCM Ili Kuendeleza Maendeleo ya Mkoa wa Pwani

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Abdallah Ulega, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kuendelea kuiamini na kuichagua CCM katika uchaguzi mkuu ujao ili kuimarisha maendeleo yaliyokwisha kuanza chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ulega ameyasema hayo leo wakati akihutubia mamia…

Read More

SanlamAllianz Yazindua Chapa Yake Mpya Tanzania

SanlamAllianz imezindua rasmi chapa yake mpya nchini Tanzania, hatua kubwa inayodhihirisha dhamira ya Kampuni hiyo katika kupanua upatikanaji wa huduma za kifedha nchini. Uzinduzi huu unafuatia muunganiko uliofanyika mwaka 2023 kati ya makampuni mawili makubwa ya kimataifa kmatika sekta ya Bima, Sanlam na Allianz ambapo umeunda kampuni kubwa zaidi barani Afrika inayotoa huduma za kifedha…

Read More