‘Mamlaka ya Turkmen yanafanya kampeni ya kimfumo ya kuondoa sauti huru’ – maswala ya ulimwengu

na Civicus Ijumaa, Oktoba 24, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Civicus anasema juu ya kutoweka kwa wanaharakati wa Turkmen Abdulla Orusov na Alisher Sahatov na beki wa haki za binadamu Diana Dadasheva kutoka harakati za raia Dayanç/Turkmenistan na Gülala Hasanova, mke wa Alisher Sahatov. Mnamo Julai 24, wanaharakati wa Turkmen Abdulla Orusov na Alisher…

Read More

MABONDIA SABA WA TANZANIA WANG’ARA KENYA, WANYAKUA MEDALI ZA FEDHA NA SHABA KATIKA MASHINDANO YA NGUMI AFRIKA

::::::::: Mabondia saba wa Tanzania wamepata medali za fedha na shaba hadi sasa katika mashindano ya ngumi barani Afrika yanayoendelea hapa nchini Kenya. Kipindi cha kwanza cha mashindano hayo tayari kimemalizika hapa katika uwanja wa ndani wa Kasarani jijini Nairobi na wachezaji wa timu ya Taifa ya ngumi kutoka Tanzania wakitwaa medali hizo. Mabondia wafuatao…

Read More

TBA kujenga nyumba za makazi, ofisi Pwani

Kibaha, Pwani. Ili kukabiliana na changamoto ya makazi iliyopo mkoa wa Pwani, Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), umesema utajenga nyumba za makazi ya watumishi wa Serikali na wananchi, pamoja na ofisi za wawekezaji katika mkoa huo unaosifika kwa wingi wa viwanda. Imeelezwa Pwani inaviwanda zaidi ya 1650 hivyo kuna wafanyakazi wengi, Wakala huo wa Serikali…

Read More

Mikoa hii ijiandae kwa mvua kubwa siku mbili

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetahadharisha kuwepo na uwezekano wa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa baharini. Taarifa iliyotolewa na TMA leo Ijumaa Oktoba 24, 2025, imesema mvua hizo zitakazoambatana na upepo mkali unasababishwa na kimbunga kinachojulikana kama Tropical Storm Chenge ambacho kinatarajiwa kuathiri maeneo kadhaa nchini, ikiwemo Mkoa…

Read More

DK.SAMIA AHITIMISHA KAMPENI ZAKE ZANZIBAR AKITOA RAI WOTE WALIOJIANDIKISHA WAENDE KUPIGA KURA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV-Zanzibar MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.Samia.Suluhu Hassan amehutubia maelfu ya wananchi wa Zanzibar alipokuwa akihitimisha kampeni zake katika visiwa hivyo huku akitoa rai kwa wananchi kujitokeza kupiga kura. Akizungumza leo Oktoba 24,2025 katika Viwanja vya Maisala Mnazi Mmoja Zanzibar akihitimisha kampeni zake upande wa Muungano…

Read More