TMA YATOA MWELEKEO WA KIMBUNGA CHENGE
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa Kimbunga “CHENGE” katika Bahari ya Hindi, Kaskazini Mashariki mwa Kisiwa cha Madagascar. Kimbunga “CHENGE” kimeendelea kusalia baharini na kusogea kuelekea Magharibi, yaani kuelekea pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia asubuhi ya leo Kimbunga “CHENGE” kilikuwa katika eneo la Bahari ya Hindi umbali…