Vyama vyajipa matumaini kuyafikia makundi yote kuelekea uchaguzi

Unguja. Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikielekea ukingoni, vyama vya siasa vimeeleza namna vilivyoendesha kampeni na mipango ya siku za lala salama kuhakikisha vinaibuka kidedea. Hata hivyo, licha ya kuhakikisha vinakamilisha kampeni, vimeeleza changamoto kubwa viliyokutana nayo kuwa ni ukata, uliosababisha vishindwe kufanya mikutano mingi ya hadhara. Kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Uchaguzi…

Read More

Mavituz ya Pantev Simba yamkosha Mbrazili

MASHABIKI wa Simba tabasamu limeanza kurudi kwenye nyuso zao kutokana na mwenendo wa kikosi hicho katika mashindano mbalimbali. Wakati hayo yakiendelea kocha wao wa zamani amewatumia salamu akisema meneja mpya, Dimitar Pantev ana kitu cha maana anachokiwekeza kikosini hivyo waishi naye vizuri. Unaweza kusema Pantev ameshusha presha Simba baada ya kuiongoza kushinda kibabe ugenini kwa…

Read More

Udasa yatoa mapendelezo 10, UDSM yajitenga nayo

Dar es Salaam. Wakati Jumuiya ya Wataalamu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) ikitoa mapendekezo takribani 10 ya kufanyiwa kazi na Serikali baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, chuo hicho kimesema hakihusiki na tamko hilo. Udasa kupitia kwa Mwenyekiti wake, Dk Elgidius Ichumbaki katika taarifa kwa umma iliyotolewa Oktoba 23, 2025,…

Read More

Bashiri na Meridianbet Leo Uibuke Bingwa

JE unajua kuwa siku ya leo unaweza ukabashiri na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet na ukaibuka na kitita cha mkwanja?. Mechi kibao kuchezwa siku ya leo hivyo tengeneza jamvi lako la uhakika hapa. EPL kule Uingereza itaendelea kwa mtanange mmoja wa kukata na shoka kati ya Leeds United vs West Ham United huku mara yao…

Read More

PANTEV | Mwanaspoti

MASHABIKI wa Simba tabasamu limeanza kurudi kwenye nyuso zao kutokana na mwenendo wa kikosi hicho katika mashindano mbalimbali. Wakati hayo yakiendelea kocha wao wa zamani amewatumia salamu akisema meneja mpya, Dimitar Pantev ana kitu cha maana anachokiwekeza kikosini hivyo waishi naye vizuri. Unaweza kusema Pantev ameshusha presha Simba baada ya kuiongoza kushinda kibabe ugenini kwa…

Read More

Mgombea ADC aahidi kufunga satelaiti akichaguliwa rais

Mwanza. Mgombea urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias, amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitasimika satelaiti angani kwa ajili ya kudhibiti uhalifu unaofanyika katika maziwa ya Victoria na Tanganyika, pamoja na kulinda mipaka ya nchi kwa ujumla. Ahadi hiyo ameitoa Oktoba 23, 2025 alipofanya mikutano ya hadhara…

Read More