Kocha Mbeya City ajilipua, ataja panapovuja
BAADA ya kupoteza dhidi ya Tanzania Prisons, Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsin amesema ameshajua shida iliko na amejipanga kuiondoa mapema tu. Mbeya City ambayo Juzi ilichezea KMC Complex kama uwanja wake wa nyumbani, hadi sasa imecheza mechi tano, ikishika nafasi ya kwanza kwenye msimamo na ndiyo timu iliyocheza mechi nyingi zaidi. Akizungumza na Mwanaspoti,…