Mechi za Simba, Yanga ulinzi kuimarishwa Kwa Mkapa
Wakati Yanga na Simba zikitarajia kucheza mechi zao za marudio za mtoano za Ligi ya Mabingwa Afrika kesho na keshokutwa, Jeshi la Polisi limesema litafanya ukaguzi kuhakikisha kuna usalama wa hali ya juu. Katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Malawi Yanga ilichapwa bao 1-0 na Silver Strikers hivyo kesho inatakiwa kupata ushindi mnono ili iweze…