Siri 5 Mwanamke Hapaswi Kumwambia Mumewe Hata kwa Bahati Mbaya – Global Publishers
Last updated Oct 28, 2025 NDOA ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hatahivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana na sababu moja au nyingine, hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya wanandoa. Bila…