Shomari Mbwana: Kutoka beki hadi golikipa
MCHEZO wa mpira wa miguu umekuwa na stori nyingi sana zinazowahusu wachezaji, makocha, mashabiki na hata wamiliki wa timu. Pengine si mara moja umewahi kusikia mchezaji anabadilisha nafasi ya kucheza uwanjani, lakini kila mmoja amekuwa na stori yake ya tofauti. Pale kwenye kikosi cha Mafunzo kinachoshiriki Ligi Kuu Zanzibar, kuna kipa anaitwa Shomari Mbwana. Amezungumza…