Lissu aomba dhamana, mahakama yamkatalia
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imelikataa ombi la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu la kutaka apewe dhamana. Lissu aliwasilisha hoja hiyo leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025 baada ya Jamhuri kuomba kesi iahirishwe kutokana na kutokuwa na shahidi kwa siku ya leo. Awali, Jamhuri katika kesi…