Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 24, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Dar es Salaam. Watu wengi hivi sasa ni wapekuaji hodari wa mitandao ya kijamii ikiwamo WhatsApp, Instagram, Facebook, TikTok na mitandao mingine. Mwaka 2023 kulikuwa na wastani wa watumiaji bilioni 4.9 wa mitandao ya kijamii ulimwenguni, ikikadiriwa mtu wa kawaida kutumia wastani wa dakika 145 kwenye mitandao hiyo kila siku. Matumizi holela ya mitandao yanaweza kuathiri…
Kupiga chafya ni tendo la kawaida la kibinadamu ambalo huchukuliwa kama jambo la kawaida kiasi kwamba watu wengi hawalipi uzito. Hata hivyo, nyuma ya tendo hili dogo la kiafya kuna mchakato wa ajabu wa mwili unaotimiza majukumu muhimu ya kinga. Kupitia vyanzo mbalimbali vya kimtandao, makala haya, itaangazia kwa undani siri iliyofichika nyuma ya chafya,…
Katika muktadha wa ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari, shinikizo la damu, unene uliopitiliza na magonjwa ya moyo, Tanzania inakumbwa na changamoto ya kimfumo inayohitaji suluhisho la kitaifa. Moja ya maeneo muhimu ya kuingilia kati ni sekta ya lishe, hasa kwenye udhibiti wa vyakula vilivyofungashwa ambavyo vimekuwa sehemu kubwa ya milo ya Watanzania wengi…
Dar wa Salaam. Lengo kuu la sharia ya Kiislamu ni kutimiza manufaa na kuzuia madhara. Sharia hii tukufu imehakikisha haki za watu binafsi na jamii nzima za kibinadamu. Miongoni mwa uzuri wa sharia ya Kiislamu ni kulinda haki za wanyonge, ikiwemo makundi maalumu kama watoto. Kwa ajili yao, Uislamu umeweka kanuni za jumla pamoja na…
Watatu kutoka kushoto ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Chato kusini, Paschal Lutandula. ………… CHATO MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chato kusini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paschal Lutandula, amesema haendi Bungeni kutafuta pesa bali kupata ridhaa ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo hilo. Amewataka wamuamini na kukiamini Chama Cha Mapinduzi kuwa kina lengo…
Sudan inasimama kwenye kitovu cha moja ya misiba ya kibinadamu “kali zaidi” ulimwenguni, kulingana na UN. Zaidi ya watu milioni 30 sasa wanahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu, kati yao milioni 9.6 waliohamishwa kutoka kwa nyumba zao na watoto karibu milioni 15 waliokamatwa kwenye mapambano ya kuishi kila siku. “Hii ni Moja ya shida mbaya…
Kusitisha kwa Gaza kunatoa fursa adimu ya kumaliza moja ya awamu ya uharibifu zaidi ya mzozo mpana wa Israeli-Palestina, naibu wa UN wa Mashariki ya Kati aliiambia The Baraza la Usalama Alhamisi. Naibu Mratibu Maalum Ramiz Alakbarov alionya kwamba bila msaada wa kuamua kwa ujenzi na utoaji wa misaada, mkoa huo unahatarisha kurudi kwenye vurugu….
Mnamo tarehe 10 Oktoba 2025, maelfu ya familia za Palestina zinatembea kando ya barabara ya pwani kurudi Kaskazini mwa Gaza, huku kukiwa na uharibifu mkubwa wa miundombinu. Mikopo: UNICEF/Mohammed Nateel na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Alhamisi, Oktoba 23, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Oktoba 23 (IPS) – Tangu tamko la…
-Asisitiza safari hii maji yakitoka atakwenda Mahakamani kubadilisha Jina lake. -Amtaja Dkt Samia Suluhu uwezeshaji wa Maendeleo Jimboni humo. Na Oscar Assenga, HANDENI MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Reuben Kwagilwa amesema dhamira ya Serikali ni kulibomoa soko la Chanika wilayani humo na kulijengwa upya ili liwe muonekano na kisasa pamoja na…