Mwamuzi aliyefungiwa miezi mitatu na kumaliza adhabu, apewa onyo kali ZPL
UNAMKUMBUKA mwamuzi Thobias Wariko, aliyefungiwa kwa muda wa miezi mitatu kutokana na kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (ZFF Cup) iliyomalizika kwa KVZ kuichapa Uhamiaji mabao 2-1, Juni 11, 2025 kwenye Uwanja wa Mao A, Unguja, kisha vurugu kubwa zikatokea, sasa amepewa onyo kali ikiwa ni…