Khambay anatosha Babati mjini – Sumaye
Babati. Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewasihi wakazi wa mjini Babati mkoani Manyara, kumpa kura za ndiyo mgombea ubunge kupitia CCM, Emmanuel Khambay kwani atayafikia makundi yote. Sumaye ameyasema hayo kwenye kata ya Bonga mjini Babati wakati akiwanadi wagombea wa CCM akiwamo mgombea urais, Samia Suluhu Hassan, ubunge na udiwani. Amesema mgombea ubunge kupitia CCM…