Benki ya NMB yashika nafasi ya 40 kwa ubora Afrika
Dar es Salaam. Jarida la African Business limeiorodhesha Benki ya NMB Plc miongoni mwa benki 40 bora barani Afrika kutokana na msingi wake imara wa mtaji, faida thabiti na ukubwa wa mali. Kwa mujibu wa orodha ya benki bora zilizotolewa na jarida hilo 2025, NMB ni miongoni mwa benki tano bora ukanda wa Afrika Mashariki,…